Matumizi ya “Literally”

Katika mazungumzo ya kawaida mtu anaweza kutumia mitindo ya lugha miwili ambayo ni moja kwa moja yani Halisi ama tamathali za semi akiwa ana dhumuni moja la mazungumzo au context moja, wenzetu huwa wana haya maneno; Literally and Metaphorically.

kwenye hili la hapa ni Halisi na Sitiari ndio itakuwa sehemu ya maelezo yangu.
Mtu akisema

usipo tatua tatizo sasa litakuwa kubwa baadaye

Anakuwa amzengumza literally, lakini anaposema

usipo ziba ufa utajenga ukuta"

Anakuwa amezungumza Metaphorically

Pia literally inaweza kumaanisha kiuelewa wa kawaida" ama kiuhalisi, kwenye mazungumzo mtu anaposema Literally anamaanisha "kwa maana ya moja kwa moja", "kiuelewa" au "kiuhalisia"
Mfa mtu anaposema

Literally, lack of enough rains means hunger"

Ni kwamba hakutaka kuelezea mchakato unaotokea katikati ya Sababu na Tokeo, Mfano angeweza kusema

Kuto nyesha kwa mvua, kutasababisha ukame na kwa kuwa tunategemea kilimo cha msimu basi wakulima hawatalima na tutakosa chakula kwenye masoko na mwisho wake ni baa la njaa

Sasa kukata wingi wa maneno mtu anatumia Literally, akimaanisha "kiuhalisia", kiuelwa ama moja kwa moja, hapa hili neno limetumika kiuchambuzi yaani unachakata taarifa nyingi kisha unatoa tafasiri halisi.

Kuna watu huwa wanatumia hili neno kujifanya tu wasomi au kuiga ma role model wao wanavyoongea, utasikia mtu mkaka anasema

literally, simu yangu imeisha chaji

Sasa sijui simu inapofika asimilia 10% ya battery huwa inaonesha nini zaidi ya "battery low"?
Na wengine hutumia kuficha haya zao ama ukari wa maneno
Mfano mdada anaposema

Literally, siwezi kuja

Anaweza kuwa anamaana hana nauri na utume na ya kutolea *Mind you ukitaka kutoka kwenye hiyo situation Mwambia achukue kwa mtu utamrudishia akifika lasivyo utapigwa*

Sorry ladies I'm just giving the tactical mastery and solutions of your commonly frauds to my apprentices.
By the way "Literally" inamaanisha kiuhalisia.